2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NYUMBA NI MPYA KABISA INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA CM HARAKA
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0788296797