2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent โจ๏ธ
Location: UBUNGO KIBANGU RIVERSIDE
Distance: Kutembea Kwa Mguu Dakika 3 tu Kutoka Kwenye Barabara ya Lami ya Mzee wa Upako
>Sebule Kubwa
>Vyumba Viwili vya Kulala Vikubwa
>Jiko Kubwa
>Choo Kizuri Sana Ndani
Apartment Zipo 4 Ndani Ya Fence
>NO Parking ๐
Kila Apartment Inajitegemea LUKUNa Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS, Reserve TANK
Price: 250,000 ร 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp