2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


💎Apartment inapangishwa
💎Vyumba viwili kimoja masterbedroom, sebule na jiko
💎Bei 500k
💎location; Ubungo Riverside
💎unajitegemea umeme na maji
💎Ndani ya fensi na parking ipo
💎kutoka lami dakika 10 kwa mguu