2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
.
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISAA INAPANGISHWA
.
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA KIMARA KOROGWE KITUO CHA MWENDOKAS AU KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
.
HII APARTMENT AINA PARKING YA GARI NDG MTEJA WANGU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
O627977383