2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Ubungo Makoka Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga take Nyumba
Kodi 500,000/= ×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1
Service Charge 20,000/=
Sifa zake
=========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting Room
Jiko
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo
0712528820
0685221354
Mr.