2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
INAKUA WAZI TAR 30/10/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
ZIPO APARTMENT MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA
NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA CHOO NDANI PUBLIC
aina master
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670