2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KABISA ZINAPANGISHWA 350K X6
ILIPWE LAKI TATU NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA ISIPUNGUE HAPA
NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU BARABARA NI LAMI MPAKA GETINI
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA USAFIRI BAJAJ DALADALA SH 5OO
UNAWEZA UKAPITIA UBUNGO EXTERNAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KOTE UNAFIKA
SERVICES CHARGE 15,000 KUONA NYUMBA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIFA ZAKE
# VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
# SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA
# PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA NDANI RAFU ZEGE
0753 989554
0773700963
=====