2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


#Repost dalali Makini Ubungo Riverside
——
#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 #APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET NJE
#LUKU INAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#BEI NI 350,000 X 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️APARTMENT HII IPO #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
#IPO NDANI YA FENSI PARKING #HAKUNA
#USAFIRI BAJAJ 700 UKISHUKA UNATEMBEA DKK 2 TUU AU UNAWEZA KUTEMBEA DKK 10-15 TUU KWA MIGUU KUTOKEA KITUONI
#SERVICE_CHARGER_15000
DALALI_MAKINI UBUNGO RIVERSIDE
0712500602
0755336565