2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali
Location Ubungo Riverside Dakika 8 Kutembea mpaka home
Kodi 650,000/= ×4 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1
Service Charge 20,000/=
Sifa zake
=========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting Room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Gate Remote control
Fully ulinzi
Good environment
NB hapa Kuna. Service Charge 50 ya Ulinzi Usafi Taka NK inalipwa 50,000/= ×4
Kuna hela ya Tahadhari , Caution Money Mwezi 1 = 650,000/= pesa hii unarudishiwa pesa Yako Siku unayo hama Kama hujafanya uharibifu wowote..
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.