2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Ubungo Makoka Usafiri ni Bajaji na Boda Pia Unaweza Kupitia Kimara Korogwe
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 zote ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Kitchen with Cabinet
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Garden nzuri
Apartment zipo 3 Moja ndio ipo wazi
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565