2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
UBUNGO KIBO
DK 10 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 250,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 HAKUNA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
HAINA FENSI GARI HADI SITE
NOTE
INARUDIWA KUPAKWA RANGI
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.