2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika MOJA TU kutoka Kwenye Lami Inayoelekea External Maji Chumvi
Price: 600,000 × 6
✅️Sebule Kubwa
✅️Vyumba VIWILI vya KULALA Kimoja Wapo Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Choo Kizuri Ndani Cha Familia
✅️Heater Ya Maji Moto
✅️Full A/c
Apartment zipo ndani ya Fence
Parking Space Available 🚗
Apartment Umeme LUKU Inajitegemea Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani Jikoni Na Vyooni 24HRS
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp
Location: Ubungo, Dar Es Salaam, Tanzania