2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Mpyaa
Location Ubungo External Dakika 0 Upo Kituoni Barabara Lami
Apartment zipo za Aina 3 Tofauti Soma Maelezo Vizuri upige sm
A) Room 2 za Kulala hakuna jiko zote ni Master
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
B) Chumba na Sebule Choo ndani hakuna jiko
Kodi 300000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
C) Chumba Master Bedroom
Kodi 150000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Single Room
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
0712500602
0755336565