2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Dakika 6 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 2 za Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Jiko
Luku yake
Public toilet ndani
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Good environment
NB Itakua wazi Tarehe 1 Mwezi 11 Kuona Nyumba na Malipo Ruhusa
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565