2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
====≠==========
Room 2 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
0712500602
0755336565