2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IPO #UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
.
#TILLES
#GYPSUM
#ALUMINIUM SAFI
#LUKU 2 NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
#RESERVE TANK LIPO LA KWAKO MWENYEWE IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA
.
#UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE
#USAFIRI BAJAJI 500 PIA UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA NA UKITOKEA UBUNGO RIVA SIDE UNAFIKA KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
0679997610
0658884015
Msigwa