2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Uwanjani, Songwe







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA NUSU DAKIKA UPO NDANI
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
FULL A / C
FEN SAFI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI SAFI
KODI YAKE 450K X 6
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363