2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Uwanjani, Songwe
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 6 KWA MIGUU
SIFA ZAKE :
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 200,000 X 4,5,6
#06555256419
#0760830706