2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


โจ APARTMENTS MPYA ZA KISASA INAPANGISHWA โ TEGETA WAZO, KARIBU NA LAMI! ๐ข
Unahitaji apartment ya kisasa, tulivu, na iliyo karibu na huduma muhimu? Zipo tayari kwa ajili yako!
๐ Mahali: Tegeta Wazo โ Karibu na barabara ya lami
๐ Vyumba 2 (1 Master Bedroom)
๐ Sebule
๐ฝ Jiko la kisasa
โ
Finishing ya kisasa
โ
Maji na umeme vinapatikana
โ
Eneo salama na tulivu
๐ฐ Bei: TSh 450,000 kwa mwezi
๐ฒ Piga/WhatsApp:
#0758998074๐
#0689138795whatsapp
๐ฉ DM kwa viewing au maelezo zaidi
๐ #ApartmentMpya #TegetaWazo #NyumbaZaKupangisha #RentalTZ #UdalaliWaUhakika