2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
WAZO UMOJA ROAD
INA VYUMBA 2 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA SELF COUNTED
SITTING ROOM, KITCHEN, PUBLIC TOILET
KUNA FENS YA MCHONGOMA
BEI TSH 230,000/=
KODI MIEZI SITA
0712154044