2 Bedrooms House/Apartment for sale at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE APARTMENTS 3 KWENYE ENEO MOJA INAUZWA
IPO TABATA KINYEREZI KIFURU
BEI TSH MILIONI 130 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO SQM 900
UMILIKI; MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
KILA APARTMENT INA
VYUMBA 2 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
PUBLIC TOILET
PANA FENCE NA GATE
MAJI YAPO YA DAWASA
UMEME UPO
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
TUPIGIE SIMU
0746 433 854