3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


π‘NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA π‘
π Bunju 'B' β Karibu na Barabara(Main Road)
π Stand Alone β Ipo ndani ya fensi
MAELEZO YA NYUMBA:
ποΈ Vyumba 3 vya kulala β 1 ni Master
ποΈ Sebule kubwa
π½οΈ Dining room
π³ Jiko lenye nafasi
π§³ Stoo
π½ Choo cha Familia (Public Toilet)
GHARAMA ZA UPANGAJI:
π° Kodi: Tsh 500,000/= kwa Mwezi
ποΈ Malipo ya miezi 6 
π οΈ Service Charge: Tsh 20,000/=
π Call / WhatsApp: 0687 800 788




















