3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam
PAGALE LENYE HATI, VYUMBA VITATU(3) TSHS.45 MILIONI, BUNJU-A.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.573.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Eneo ni lipo kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Ujenzi wa kisasa,
Mtaa tulivu na nyumba imeishia hatua ya LINTA.
KULIPA KWA AWAMU 2 NDANI YA MIEZI MITATU (3) RUKSA.
*MADALALI UNAWALIPA AWAMU YA MWANZO PESA YAO YOTE YAANI 10%
WAHI KUNA UCHUKUE MAMUZI MAPEMA.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuikagua gharama ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_______________mpg
Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.