3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


๐ NYUMBA YA VYUMBA 3 - BUNJU ๐
๐ Mahali: Bunju - Dakika Moja Upo Stand
๐น Vyumba 3 vya kulala (1 ni Master)
๐น Sebule ๐๏ธ๐ฝ๏ธ
๐น Jikoni yenye nafasi
๐น Choo cha public
๐น Maji: DAWASCO (unajitegemea) ๐ง
๐น Umeme: LUKU (unajitegemea) โก
๐ธ Kodi: TZS 250,000/= kwa mwezi
๐ Malipo ya kuanzia miezi 4
๐งพ Service Charge: TZS 20,000/=
๐ Wasiliana:
๐ฑ 0687 800 788
๐ฑ 0713 958395