3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







π NYUMBA MPYA YA VYUMBA 3 π
ποΈ Zipo nyumba 4 ndani ya fensi moja
π Mahali: Bunju βBβ
πΉ Vyumba 3 vya kulala (2 ni Master)
πΉ Master kubwa ina makabati
πΉ Sebule na Dining ποΈπ½οΈ
πΉ Jikoni yenye nafasi
πΉ Choo cha public + Stoo
πΉ Maji: DAWASCO (unajitegemea) π§
πΉ Umeme: LUKU (unajitegemea) β‘
πΉ Full Air Condition (AC) βοΈ
πΈ Kodi: TZS 750,000/= kwa mwezi
π Malipo ya kuanzia miezi 6
π§Ύ Service Charge: TZS 20,000/=
π Wasiliana:
π± 0687 800 788
π± 0713 958 395