3 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: BUNJU - MINGOI
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, Chumba 1 Master, Sebure, Dinning, Stoo, Jiko na Public Toilet.
KODI: Tsh. 250,000/=Kwa Mwezi
___________
Service Charge: Tsh.20,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788