3 Bedrooms House for Rent at Buswelu, Mwanza
Nyumba hii inapangishwa Iko Buswelu Mwanza Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom jiko public toilet umeme na maji unajitegemea Kuna tank la maji MITA 30 kutoka kwenye Lami Bei 300,000/= kwa mwezi malipo miezi6 sawa Tupigie 0686887297 au0767346478