3 Bedrooms House for Rent at Buzuruga, Mwanza


NYUMBA INAPANGISHWA BUZURUGA
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ina Air Condition, makabati, car parking space na water reserve tank
-kodi Milioni 5 kwa mwaka
NB:-
-Nyumba Moja Ndani Ya Fensi
☎️ 0743220097