3 Bedrooms House for Rent at Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA NI MASTER YENYE KABATI), SEBULE KUBWA NA JIKO. NYUMBA NZURI IMEJITOSHEREZA. MAJI YAPO MASAA 24.
LOCATION: CHANIKA, KITUO KWA SINGA
KODI: 250000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI KWANZIA MINNE NA KUENDELEA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.