3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam







TSHS MIL 190,#NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA LASTANZA
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 395
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MILIKI
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
NYUMBA INAMPANGAJI( Analipa kodi laki 7 kwa mwezi)
___________
YENYE;-
Vyumba vitatu vya kulala Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! 🤔
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 190
Maongezi yapo
__
_
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE;
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812whatsapp / WhatsApp