3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-GOBA KWA AWADHI
______________
KODI TSHS LAK 800,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
________
NZURI YA KISASA
_____________
YA KIFAMILIA,
_______
YENYE:-
Vyumba Vitatu vya kulala #Masta #Sebule kubwa #Jiko zuri lenye stoo #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717