3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
STANDALONE MPYA INAPANGISHWA
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei :: 500,000Tsh kwa Mwezi, malipo miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Vitatu Kimoja ni master
📍Sebule kubwa
📍Dinning
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri kubwa
📍Fence
📍Eneo la kufuga kuku
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030