3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE GOBA CENTRE
-----------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public #Gypsum
Slide window
Full air condition
Garden
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,300,000/=×6
_______
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1.3
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿