3 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA;
#STAND_ALONE_HOUSE
Kodi :: Tzs 800,000 kwa Mwezi
Malipo :: Miezi 6
Location :: GOBA NJIA PANDA YA KINZUDI 1.5 kilometa
.
πVyumba Vitatu ( Kimoja ni Masta)
πSebule Kubwa & Dinning
πJiko lenye makabati
πPublic Toilet
πLuku Yako
πFenced
πParking Space ipo.
.
Tuwasiliane: (WhatsApp/Call/Txt)
#0714335450