3 Bedrooms House for Rent at Iyumbu, Dodoma


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA IYUMBU SHULE YA MFANO JIJINI DODOMA
Ina vyumba vitatu
Master bedroom zote
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Maji/Umeme upo
Ina WATER RESERVE TANK
Ipo ndani ya fensi
Ipo jirani lami
Kodi ni Tshs. 500,000/= ( laki tano tu) KWA MWEZI
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"