3 Bedrooms House for Rent at Kati, Arusha
HIZI NYUMBA ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO JIONI KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#VYUMBA 2 MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YANAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
CALL
O627977383