3 Bedrooms House for Rent at Kati, Arusha


800,000 x10
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA KODI NI SHILINGI 800,000/= X 10
💥JUMBA HILI LINASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION VYUMBA VYOTE
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#HEATER
#GARDEN NZURI
BEI NI 800,000/= X 10
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA YA KISASA IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE HADI KWENYE NYUMBA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
💥NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE MJENGO NDUGU MTEJA
0679 956 863
0759151524
0617923624