3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA SANA MNO SIYO YAKUCHELEWA
APARTMENT HII WAPANGAJI 4 JUU NA CHINI
VYUMBA 3 VYA KULALA VYOTE MASTER VIKUBWA SANA
SEBULE YA KUJIACHIA
DAINING KUBWA
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
UMEME WAKO
MAJI YAKO
KILAKITU KINAJITEGEMEA
BEI 500K X6
BEI IMESHUKA SIYO YAKUCHELEWA
NYUMBA HII IPO KIBAMBA LUGURUN UPANDE WA KULIA KAMA UNATOKA MBEZ
UMBALI DK 15 KWA MGUU
BODA BODA 1000
HADI GETINI
KUONYESHWA NYUMBA 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258