3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIBAMBA MLOGANZILA DK3 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000X6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
--------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara🇹🇿💥
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏