3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







#STAND ALONE/INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE YA WAYA NA GETI LIPO IPO KIBAMBA SHULE KIBWEGERE ROAD
Vyumba 3 vya kulala 2 kati ya hivo ni master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 300,000 kwa mwezi × 6
Umbali KM 2.5 usafiri bajaji zipo
Inajitegemea kila kitu na kuna kuna mabanda ya kufugia
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
===
Cont
0683234124
0718367179