3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







STEND ALONE INAPANGISHWA
NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA NI MPYA KABISAAA
LOCATION:
KIBAMBA HOSPITAL
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1
SIFA ZAKE:
IPO YENYEWE NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
VYUMBA 3 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
DINING ROOM
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
KODI 300,000 X 6 kamili
KUONA ELFU 20
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI