3 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


800,000 x6. 0781 418 437
STAND ALONE KALI SANAAAAAAAA ZAIDA YA SANAAA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#SEBULE KUBWA MNOO
#DINNING ROOM
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#JIKO NZURI LENYE FULL MAKABATI
#STOO
#CHOO CHA FAMILIA
#GARDEN NZURI MNOO
#PARKING SPACE KUBWA MNOO
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI YANAFLOW NDANI
#KAMA UNATAKA HIVYO VITU VILIVYOMO NDANI MTAZUNGUMZA NA MWENYE NYUMBA NI VIPYA KABISA
KODI NI TZS 800,000/=×6
#NYUMBA INA MAZINGIRA MAZURI MNOO NA SEHEMU NZURI YA GARDEN KWA NJEEE
#NYUMBA IPO KIBAMBA SHULE UMBALI WA KILOMETA 3 KUTOKA MOROGORO ROAD #NDUGU MTEJA ZINGATIA HUO UMBALI PLEASE AND PLEASE
#WALE WAFANYAKAZI WA MLOGANZILA NDIO SEHEMU YENU HII KABISA NYUMBA NZURI MNOO
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
0679 956 863
0759151524
0781 418 437