3 Bedrooms House for Rent at Kibondo, Kagera

 media -1
media -1
Sh. 300,000 per month

Nyumba yenye vyumba vitatu vyote vinachoo ndani, pia kuna sitting room na dinning room, jiko ndani, maji yanatoka mapaka ndan, umeme unajitegemea, pia iko moja ndan ya geti, Kodi tsh, 300,000/= kwa mwezi na ipo Kona ya kuelekea hamenya girls sio mbali na bala bala ya rami ya kibondo road. Nyumba nimpya ya kisasa na kod inaamzia miez 6 kuendelea. Mawasiliano zaid sim no. 0764162942 au 0626332187. Mpangaj aliyepo anaondoka tarehe 10 mwez huuu. Tafadhat 🙏🙏🙏 kama sio wewe nisaidie ku- share. Aksante na mungu akubarik.

Dalali maarufu kasulu
dalali_kasulu
Dalali maarufu kasulu

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Kibondo, Kagera

Sh. 300,000 per month

Nyumba yenye vyumba vitatu vyote vinachoo ndani, pia kuna sitting room na dinning room, jiko ndani, ...

3 Bedrooms House for Rent at Kibondo, Kagera

Sh. 300,000 per month

Nyumba yenye vyumba vitatu vyote vinachoo ndani, pia kuna sitting room na dinning room, jiko ndani, ...

1 Bedrooms House for Rent at Kibondo, Kagera

Sh. 120,000 per month

Nyumba chumba kimoja sebule self na jiko ndan, pia maji na umeme ni uhakika na Kodi yake ni tsh. 120...

1 Bedrooms House for Rent at Kibondo, Kagera

Sh. 120,000 per month

Nyumba chumba kimoja sebule self na jiko ndan, pia maji na umeme ni uhakika na Kodi yake ni tsh. 120...