3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa sifa zake ni
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master
Sebule kubwa jiko nzuri n k
Kodi 500k kwa mwezi
Ipo kigamboni mji mwema ugindoni tuwasiliane
📞☎ 0746914709
Kalibuni wotee