3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
🏡NYUMBA INAPANGISHWA
(IPO KWENYE FINISHING)
📍Kigamboni-Darajani(Spweto)
💰600,000X6 Na mwezi mmoja wa dalali
Details
•Vyumba Vitatu vya kulala(Kimoja Master)
•Sebule
•Jiko
•Common Washroom(Choo)
•Umeme na Maji Unajitegemea
✅Fenced
✅Parking
✅Inajitegemea
✍️SURVEY CHARGE(Gharama ya kuzunguka mpaka upate nyumba utayoipenda)
20,000/=
☎️0621393139(WhatsApp/Call/Text)
📲0769063139(Call/Text)