3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location CHEKECHEA (STAND ALONE)
<> nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimoja Master sebule dining na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba inajitegemea
✅nyumba ina mazingura safi
✅nyumba iko jirani na barabara
✅nyumba mpya mzuri na safi
<> asking price 600k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> services charge 20k
<> mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837