3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


🏠 *Nyumba ya Kupangisha* – Beach ⛱ Kigamboni
*Maelezo ya Nyumba:*
1. Vyumba 3 vyote ni master
2. Sebule (sitting room) moja
3. Jiko moja
4. Vyoo 2 vya public
5. Parking za magari 3
6. Uzio kamili (full fence)
7. Umeme wa LUKU (inajitegemea)
8. Eneo lote limepigwa paving
9. Geti la slide
10. Full tiles
11. Kila nyumba ina tank la maji lake
Eneo:
Nyumba ipo Beach Plot B, mtaa wa Kigamboni PC
Karibu na Mikadi – dakika 2 kwa miguu
Nyumba ya 3 kutoka barabarani
Eneo *linatazama Beach ⛱*
*Nyumba mpya* kabisa, unalipia na kuingia
Kodi:
*1,000,000 TZS* kwa mwezi
Malipo kuanzia miezi 6, 10 au 12
Mawasiliano:
📞 *0686 705 903