3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> Location kisiwani
<> nyumba Ina vyumba vitatu viwili master sebule na jiko
✅nyumba inajitegemea
✅nyumba iko fenced
✅mazingira mazuriii
✅nyumba iko jirani lami
✅nyumba nzuri na safiii
<> asking price 500,000 per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
0628505896
0763954837