3 Bedrooms House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


Apartment kijitonyama
Kwenye Compound ni wapangaji wawili tu na kila mmoja anajitegemea umeme na maji.
■Ni vyumba 3 kimoja ni master
■Public toilet
■Jiko
■Sebure
■outside independent toilet.
■kodi ni Milioni 1 kwa mwezi
■Malipo ni miezi 6.