3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 500...NJIA LAMI TUPU...VUMBI KIDOGO SANAA
➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000\/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3BITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000\/= X 6
💫💫 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453